Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Ha haaaaaaaa........Naskia ile red card ya ronald ndo ime waathiri mbumbu fc[emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaaaaaaa........Naskia ile red card ya ronald ndo ime waathiri mbumbu fc[emoji3][emoji3][emoji3]
Manunuzi FC hawa tunawajua.Masudi Jumaaaaaa!!!!!! Eti wanasafiri na kocha mkuu, msaidizi wanamuacha Dar. Haya tumepata stahili yetu.
Na iwe hivyo aisee..maana tusije tukajiamini sana halafu matokeo yakaja kinyume..Leo tuna mtia mtu 2 bila
Tatizo simba mna mdomo sana.Simba tunashinda hii match
Yanga labda wapiganie sare tu
Uhakika mkuu tunashinda leo amini usiaminiTatizo simba mna mdomo sana.
Tusikimbiane badae lakiniUhakika mkuu tunashinda leo amini usiamini
Kapu langu ni empty(0-0)Nitarudi hapa na kapu langu