Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Hii sare sijaipenda yaani tumeshinda golini dk90 mipira haizami hapa tuongeze kamati ya ufundi.
 
Hamu ya kuangalia mpira imeniishia kabisa.
Ngoja nijikite kwenye kutafuta pesa tu.
 
Back
Top Bottom