Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Nina wasiwasi na Uwezo Wa Huyu Kocha Wetu nahisi aangaliwe upya mbinu za ufundishaji wake.
 
Wabongo bana cha muhimu team imeshinda na imecheza vizuri
Prison walikuwa wazuri kuzuia na kama uliangalia huu mpira vizuri nafasi za magoli za simba zilikuwa tatu tu huku prison wakiwa na 2

Kilichonifurahisha ni kutomuona Kwasi na Emanuel Okwi na bado team ikaparfom vizuri

Good team
Hongereni prisons ndio team zinazotakiwa kwenye league mlipambana na muendelee kupambana hivyo hivyo sio kwa team kubwa tu

E&K
 
Wengine wanadhani simba itakua inashinda tano, nne kila metch.
Afu watu tuache kuongea umbea timu kuweka kambi uturuki si kwamba walienda kupata kozi ya kucheza mpira ile ilikua tu ni maandalizi kwa ajili ya kocha kutengeneza chemistry yake atakayoitumia.
Ni sawa tu na walioweka kambi morogoro, Zanzibar nk
Wasiojua mpira wanayachukua maneno ya utani wa simba na Yanga na kuyaleta uwanjani, mpira hauko hivyo kila timu inajiandaa.
Ko matokeo ya aina yote tatu yanaweza kujitokeza,
Mi hata simba ingefungwa wala nisingelaumu mana timu imecheza vzr, imetengeneza nafasi.
Zaidi tuwasifu wapinzani walikua vzr japo tumeshinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Haj Manara
 
Tujenge team ngumu kufungika kwanza na naona kwa mfumo wa mwalimu anajenga ngome ngumu kwanza
Tuwaze kimataifa sio kitaifa
Kimataifa unatakiwa uwe na beki ngumu kupitika kwanza na yote inategemea mfumo mwalimu anaotumia

E&K
 
Hakuna timu hapa,ni kigenge tu cha wahuni wamejikusanya kufanya mazoezi
FB_IMG_1535477171985.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom