Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Gyan kwenye mechi za kimataifa asipangwe namba mbili, anapunguzwa kirahisi sana, hana nguvu za kushindana na washambuliaji nguli kama Kampamba.
Namba mbili inaweza kuchezwa na Nyoni, au halafu Nne akacheza Juuko. Bora hata mlipili acheze hiyo namba mbili au Kwasi kuliko Gyan.
 
kabsa mkuu, kwenye mechi ngum kama hii juuko ni mtu muhm sana, ndiye pekee anaweza kupambana na kina kampamba coz anapga soka la kibabe sana, wawa pia apumzike game ijayo... wale nkana wana speed sana then wawa ni mzito kugeuka
 
Ndemla atatufaa sana kwa gem la kesho kwa kupiga mashuti makali ya mbali, kocha ampe kazi hiyo tuu
 
[emoji134]
img_20170613_wa0071.jpg
 
Pale unapokua mshabiki wa chelsea alafu unaichawia simba.
Hupati kitu ni majonz tuu
 
Back
Top Bottom