Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Una uhakika? Au umeandika huku unaficha uso? Huna mchezaji kama huyo kwenye timu yako nzima
Nenda jukwaa la yanga acha tusheherekee ushindi wetu. Mmekosa ya kusema mnataka tuwasifie wachezaji pinzani. Nasema ni boya tu hana lolote walio bora ni simba. Kama vipi jinyongeni mfweeee.
 
Nenda jukwaa la yanga acha tusheherekee ushindi wetu. Mmekosa ya kusema mnataka tuwasifie wachezaji pinzani. Nasema ni boya tu hana lolote walio bora ni simba. Kama vipi jinyongeni mfweeee.
Sijasema muwasifie wachezaji Wa timu pinzani,Mimi ndio nimesifia YOUNG AFRICANS FOOTBALL CLUB "The Citizen Team"
 
hivi ni kweli kuna shabiki mwenzetu amefariki kwasababu ya goli alilofunga mkude dhidi ya nkana?
 
kundi mezani sasa wakuu tunapaswa kushinda angalao mechi 3 nyumbani ikiwezekana na moja ugenini
 
FB_IMG_1546069954023.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye makundi na mtoano timu zote za kiarabu zikicheza na simba huwa zinapigwa na sare mara chache hivyo basi ni vema tukaendeleza ubabe wa kuzipa kichapo nyumbani ili kwao tukajuane.Timu nyingine hii ya kongo tutajuana japo nao kwa mchina inabidi waokotee mipira kunyavu.
Simba nguvu moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom