Mechi ya marudiano lini?Dar tunashida wala msiwe na shaka SIMBA SC 3 - 0 NKANA FC
Mechi ya marudiano lini?
Juma pili hiyoooo
kabsa mkuu, kwenye mechi ngum kama hii juuko ni mtu muhm sana, ndiye pekee anaweza kupambana na kina kampamba coz anapga soka la kibabe sana, wawa pia apumzike game ijayo... wale nkana wana speed sana then wawa ni mzito kugeukaGyan kwenye mechi za kimataifa asipangwe namba mbili, anapunguzwa kirahisi sana, hana nguvu za kushindana na washambuliaji nguli kama Kampamba.
Namba mbili inaweza kuchezwa na Nyoni, au halafu Nne akacheza Juuko. Bora hata mlipili acheze hiyo namba mbili au Kwasi kuliko Gyan.
Ni noma[emoji134] View attachment 974490
Atadhibitiwa wala hamtamuona. Hatupendi dharau tunachotaka liwe jua iwe mvua nkana wafe tu.[emoji134] View attachment 974490
Wamekufa bro,. simba nomaAtadhibitiwa wala hamtamuona. Hatupendi dharau tunachotaka liwe jua iwe mvua nkana wafe tu.
Boya tu hyu[emoji134] View attachment 974490
Una uhakika? Au umeandika huku unaficha uso? Huna mchezaji kama huyo kwenye timu yako nzimaBoya tu hyu