severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Naunga mkono hoja 100% mkuuHata thread huwa na mada maalum.Watu wanazungumzia tufaha wewe unakuja na
viazi .
Mpira wa mchangani na kwenye madimbwi ya maji yana threads zake.
Heshimuni thread za mpira wa kimataifa.
Pouwa mkuu Baba_Swalehe:kama kuna mtu ana grouo hai la simba la whatsapp naomba aniunge kwa namba 0677369517
Wananchi wapo na Yanga, huku ni mikia tu ndio inazungushwa zungushwaHivi wananchi Wa humu mpo kweli, mbona mmelitelekeza jukwaa lenu....
1-0