Kama kamfunga Al-haly basi hta cc hao wamisiri tunawaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli mpambano ni una uwiano mzuri sana. Al Ahly ya sasa, kwa mtizamo wangu kwa kuwaona mechi hizi mbili za kwanza live, hawaonekani kuwa tishio sana. Sio kama miaka ya zamani. Wanafungika kama tukicheza kama mechi yetu ya kwanza.
Bado dakika 20 kumalizika kwa mchezo.
 
Kwa kweli tuige utamaduni wa wenzetu wa kushangilia mwanzo mpaka mwisho. Washabiki wa kiarabu wanazipa hamasa sana timu zao kutoka mwanzo mpaka mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…