Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kama kamfunga Al-haly basi hta cc hao wamisiri tunawaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli mpambano ni una uwiano mzuri sana. Al Ahly ya sasa, kwa mtizamo wangu kwa kuwaona mechi hizi mbili za kwanza live, hawaonekani kuwa tishio sana. Sio kama miaka ya zamani. Wanafungika kama tukicheza kama mechi yetu ya kwanza.
Bado dakika 20 kumalizika kwa mchezo.
 
Back
Top Bottom