Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ilikuwa wale 10 hawaDah sipati picha hiyo game na Yanga wangerudi dimbani sijui ingekuaje!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2]2019: Al Ahly 10-0 Simba underdog
Ndugu zetu watavunja rekodi walizojiwekea[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kuna rekodi najua itavunjwa Egypt mwezi wa pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
TungerudishaDah sipati picha hiyo game na Yanga wangerudi dimbani sijui ingekuaje!!
Simba waligoma kurudi uwanjani na Yanga wakarudi na refa akasubili hawakutokea, sheria za mpira zikafata mkondo
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Lakini Simba imetanguliza advansi ya kufutia machozi.. Simba 3 - 0 J Soura ALGERIA!!