PamojaHavitachacha vyote nilichogundua fatiki inawatesa wachezaji ikumbukwe wameingia bukoba siku moja kabla ya mechi ila si mbaya tutafanya vzr point 9 za kanda ya ziwa uhakika niamini ninachokwambia
Kesho.. jumanneMechi ya simba na alliance lini wadau manake Cjaelewa n Leo au kesho
hongereni[emoji3][emoji3]Ft pupil's 0 ,,zimba 2 okwi and niyonzima
Jamani Leo Simba anacheza na nani?
Kabisa hata pale nyuma Juurko + Bukaba ni dolo sana huwa hawazuii vzr.Wamekosea sana kuwaanzisha Rashid Juma na Said Dilunga hawa watu wana athari wakitokea sub wameshausoma mchezo.
Denis Kitambi na na Patrick wamefeli sana