Nawashauri Simba mwakani wajipange kushiriki Mashindano ya Afrika ya Kimbe la Washindi na sio Club bingwa.
Kama watashiriki Club bingwa basi wajifungishe katika round ya pili ili washuke kwenye Washindi.
Au wakishinda F.A basi wachague kucheza Washindi kwasababu huko wanaweza fika Fainali wakijipanga.
Ila Michuano ya Club Bingwa hawawezi fika mbali kuna mitimu imejipanga sana huko.
Kuzitoa Experence, Raja Casablanca, T.P. Mazembe, A.S Vita, Al-Ahally, Mamerodi Sundawns. Agusto.
Si lelemama hata kidogo.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
simba ni kikundi cha wahuni, wavuta bangi tuu, hv mngekutana na yanga c nngekuwa mnajamba jamba tuu
 
"Ni aibu Simba kutoshinda, baada ya kulipa mishahara inayokaribia Bilioni 4 kwa mwaka, najiuzulu kama mwenyekiti wa bodi na kubakia muwekezaji, Simba Nguvu Moja, nitatia nguvu kwenye kuendeleza miundombinu na soka la vijana">>> MODewji baada ya Simba kufungwa #MillardAyoSPORTS millardayo on Twitter
 
Hiki kitimu na vichezaji vyake vya magazetini kinazidi kujidhihirisha u underdog wake. Mlikuwa mnaishobokea Yanga si mngepigana bakora hadi Mo mwenyewe mngemcharaza!?
 
Haya haya haya muda Wa kupiga magoti umefika. Mhindi Wa watu anawapa hela ya usajili nyie mnasajili vijitu vya hovyo halafu mnawapa waandishi hela ili wavipigie promo
 
Sasa kwa namna mlivyooza hivi ndio mlitaka mcheze na Yanga final, mbona mngechanika katikati hapo.[emoji23][emoji23]
 
We jamaa una ona mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba bana kwa kujifariji, utadhani wahakujua kama hayo ni mashindano madogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…