Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapumulia machine mkuu,Mtibwa wametukomalia vibaya,na tumebebwa kwa penati ya wazi kunyimwa Mtibwa
Haya haya haya muda Wa kupiga magoti umefika. Mhindi Wa watu anawapa hela ya usajili nyie mnasajili vijitu vya hovyo halafu mnawapa waandishi hela ili wavipigie promo"Ni aibu Simba kutoshinda, baada ya kulipa mishahara inayokaribia Bilioni 4 kwa mwaka, najiuzulu kama mwenyekiti wa bodi na kubakia muwekezaji, Simba Nguvu Moja, nitatia nguvu kwenye kuendeleza miundombinu na soka la vijana">>> MODewji baada ya Simba kufungwa #MillardAyoSPORTS millardayo on Twitter
Kikosi kipana kimepanuliwa huko zanzibarMimi hofu ya nini wakati timu yangu unaijua... Iko juu kileleni
Walisema nini?Maneno uchebe na Rage yapigieni mistari kabisa..,....
Acha ufala wewe, simba imeoza? Una kichaa wewe , wewe hujaona soka ilivyochezwa hapo uwanjani,. shabiki maandazi kweli wewe usiejua mpiraSasa kwa namna mlivyooza hivi ndio mlitaka mcheze na Yanga final, mbona mngechanika katikati hapo.[emoji23][emoji23]
We jamaa una ona mbali sanaImenichukua muda kidogo kabla ya kugundua kwamba Yanga tulifanya vema kutolewa na mtibwa.
Kwanza tulijiepusha na Ku risk,kwani kwenye derby lolote linaweza tokea,japo tuna uhakika Wa kuifunga simba hata tukicheza sasa hivi hapa ninavyoandika,ila kwa sababu mpira unadunda ingetokea wakatufunga timu ingepunguza morali tuliyonayo washabiki ktk kuiamini timu yetu.
Pili,tungekuwa tumechafua image ya brand yetu kwa mashindano ambayo hayana faida kwetu
Tatu, katika mchezo huo Simba wasingekuwa na cha kupoteza manake kama biashara wao wameshafanya kwa kuchukua hela zote ktk derby ya kwanza ambapo wao walikuwa wenyeji hivyo kama tungepunguza morali ya washabiki inamaana Yanga ndio ingekuwa na hasara kawani wao biashara yao wataifanya ktk mchezo Wa marudiano.
Nne, ili mchezo Wa pili uwe na msisimko zaidi inabidi hii tension iliyopo sasa ya Nani ni Mbabe kwa mwenzake iendelee kuimarika japo nyuma ya pazia tunajua kabisa Simba hawatuwezi na tutawakong'ota hadi Manara wamwite Manyaya.
Mwisho kabisa hatuna haja ya kulalamika kutokana na timu yetu kutolewa na mtibwa kwani hii ina faida kwetu wananchi kwani hadi sasa Simba bado wanaumia sana kwa kile tulichowafanyia na wanajiona bado wana deni .
HALAFU!!! HIVI NI KWELI JAMES KOTEI ANAKUJA!??