Formation ya Mshambuliaji kuwa mmoja mbele inatucost
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami Simba damu sielewi usajili wanaofanya Mana tulikuwa tunaitaji mshambuliaji wao wanaleta mawinga.
 
Formation ya Mshambuliaji kuwa mmoja mbele inatucost

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu sahivi ina ma straika wawili tu kagere na boko...viongozi hawayaoni haya...ikitokea wakaumia basi timu itakuwa inacheza bila mastraika...wanawarudisha wakina kichuya ambao viwango vishaisha wanawaacha wakina kotei ambao mapengo yao tangu waondoke hayajazibika na yanaonekana wazi...huenda kuna watu wapo pale simba kwa ajili ya kuvuruga timu na kuna faida wanayoipata wakivuruga timu....simba ya sasa inawatu viongozi wa ovyo sana kuliko simba zote za huko nyuma tangu nianze kuishabikia
 
Nami Simba damu sielewi usajili wanaofanya Mana tulikuwa tunaitaji mshambuliaji wao wanaleta mawinga.
Tangu msimu uliopita sehemu zinazohitaji marekebisho zilikuwa zinaonekana wazi..ma straika walikuwa watatu so ilitakiwa tuongeze mmoja wawe wanne na okwi wangembakisha...kama angelazimisha kuondoka ilitakiwa tuongeze mastraika wawili wazuri wa kimataifa tuwe na mastraika wanne jumla...kiungo pale kotei angebaki na beki huku nyuma tungeongeza beki mbili or tatu...moja ya kati..moja ya pembeni kumsaidia kapombe na moja kule kwa tshabalala...chakushangaza viongozi wakatuletea wale wauza matikiti wa brazil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…