Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mnao iamini timu yenu naona mechi za kagera na azam hamkua kimya...mlikuwa mnashangilia mwanzo mwishoDaa jamaa hamkaamini kweli katimu kenu na vichezaji vyenu mana mlivyokuwa kimya muda Wa mechi utadhani mmejificha chini ya uvungu Wa kitanda ili majambazi yasiwaone
Nyie mnao iamini timu yenu naona mechi za kagera na azam hamkua kimya...mlikuwa mnashangilia mwanzo mwisho
Karibuni saaana🤪🤪🤪Wanajuaga kuja kwenye uzi wetu na leo tumekuja huku kwao.
#Matusihatutaki. 😀😀😀
Mpira ni dk 90 na kutangulia sio kufika ShadeeyaWanasubiria wakomboe ndio waje na cheche zao. 😂😂😂😂
Matokeo ndio kama mlivyosikia tenaKama mpo wekeni Updates si tunatoka kwani tuliona mumepoa humu. 🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Mkuu umeamua kuja kuwakera huku huku. 😂😂😂😂Hatufanyi biashara kichaa sisi
Mtani nakusalimia kwa Hisani ya Morison. 🤣🤣🤣
😂😂😂 Nimekubali SesMpira ni dk 90 na kutangulia sio kufika Shadeeya
Wanakujaga kwetu kutusumbua sumbuaMkuu umeamua kuja kuwakera huku huku. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu jana hakuna hata mmoja aliyetokea aisee.Wanakujaga kwetu kutusumbua sumbua
Wanasema inaitwa eagle styleMtani nakusalimia kwa Hisani ya Morison. 🤣🤣🤣
Hahahaaa. Yaani leo hii ndio habari ya mujini.Wanasema inaitwa eagle style
Hamna kitu hayo mavitu anayafanya sana mwamba wa Lusaka na hatuyaongeleiHahahaaa. Yaani leo hii ndio habari ya mujini.
Hahahaaa!! Hebu niletee video moja nione Mtani.Hamna kitu hayo mavitu anayafanya sana mwamba wa Lusaka na hatuyaongelei
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kabisa kiongozi wanguMimi ni simba damu lakini siridhishwi kabisa na namna viongozi wetu na benchi la ufundi wanavyoendesha hii timu... timu yetu imekuwa timu la makelele kwenye mitandao ya kijamii sikuhizi but ukija uwanjani hakuna kitu timu inazidi kuporomoka kiwango kila siku...wakati timu nyingine huwa zinafanya sajili zao kurekebisha sehemu dhaifu sisi simba huwa sajili zetu sijui huwa zinaangalia nini...tukubali tukatae simba sikuhizi kuna bureaucracy sana
Kama alivyosema kocha PatrickTimu sahivi ina ma straika wawili tu kagere na boko...viongozi hawayaoni haya...ikitokea wakaumia basi timu itakuwa inacheza bila mastraika...wanawarudisha wakina kichuya ambao viwango vishaisha wanawaacha wakina kotei ambao mapengo yao tangu waondoke hayajazibika na yanaonekana wazi...huenda kuna watu wapo pale simba kwa ajili ya kuvuruga timu na kuna faida wanayoipata wakivuruga timu....simba ya sasa inawatu viongozi wa ovyo sana kuliko simba zote za huko nyuma tangu nianze kuishabikia