Ubingwa wenyewe hauna raha. Kwani hata wao wanajua haukupatikana kihalaliJinsi jamaa alivyotoa update ya kutetea ubingwa hapo juu mtu akiingia humu kwa Mara ya kwanza anaweza akadhani hii timu huwa inashinda kihalali ha ha ha ha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo liko wazi!Ubingwa wenyewe hauna raha. Kwani hata wao wanajua haukupatikana kihalali
Hivi huyu ni Simba kweli , au ndo wale wale mbute mbute fc
Yanga wameahidi wachezaji mapesa,, wako radhi wavunjike miguu siku hyo,,kwa mpira mwingi uliopigwa jana, acha tu Simba itawale soka la Bongo
Hizo jezi ndio za msimu ujao?[emoji991] Wadhamini wakuu kampuni ya @tzsportpesa wakitukabidhi hundi ya Tsh. 100 milioni baada ya kushinda ubingwa wa Ligi Kuu #VPL 19/20. Pesa hizo zimetolewa kama sehemu ya makubaliano ya mkataba wa udhamini ambao tulisaini mwaka 2017.
Mwenye nacho huongezewa [emoji2] #VPLchampions #NguvuMojaView attachment 1495228View attachment 1495229View attachment 1495230