Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Klabu ya SimbaSCTanzania imethibitisha kuwa itacheza na klabu ya Vital’O FC kutoka nchini Burundi kwenye tamasha la Simba Day siku ya Jumamosi, Agosti 22, 2020 jijini Dar es salaam.
Tuwe makini tu tusije pigwa hata na Warundi maana beki yetu wamejaa wazee
 
20200818_171528.jpg
 
Tuwe makini tu tusije pigwa hata na Warundi maana beki yetu wamejaa wazee
Una moyo wa ujasiri sana mkuu, huu uzi manyani wanaupitia mbali, social distance yake ni kilometa 100 ni zaidi ya korona.
 
ukiacha BARAZA LA MAWAZIRI, pia kuna BARAZA LA WAZEE pale Msimbazi likiongozwa na Babu Kagere[emoji1787]
 
Mtoto wa Mwamedi akimpangia Mwamedi kikosi cha 5IMBA SC 2020/21

1-Mzee Aishi Manula
2-Mzee Shomary Kapombe
3-Mzee Mohamed Hussein
4-Mzee Erasto Nyoni
5-Mzee Joash Onyango
6-Mzee Jonas Mkude
7-Mzee Clatous Chama
8-Mzee Larry Bwalya
9-Mzee John Bocco
10-Mzee Meddie Kagere
11-Mzee Luis Miquissone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto wa Mwamedi akimpangia Mwamedi kikosi cha 5IMBA SC 2020/21

1-Mzee Aishi Manula
2-Mzee Shomary Kapombe
3-Mzee Mohamed Hussein
4-Mzee Erasto Nyoni
5-Mzee Joash Onyango
6-Mzee Jonas Mkude
7-Mzee Clatous Chama
8-Mzee Larry Bwalya
9-Mzee John Bocco
10-Mzee Meddie Kagere
11-Mzee Luis Miquissone

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii list ya zamani, weka mpya!!...
 
Ubwana na Utwana ndani ya Bongo! Sijui manyanyaso haya yataisha lini
 

Attachments

  • IMG-20200822-WA0094.jpg
    IMG-20200822-WA0094.jpg
    38.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom