Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Ubwana na Utwana ndani ya Bongo! Sijui manyanyaso haya yataisha lini
Utopolo haya mambo ya kawaida
tapatalk_1598206503096.jpeg
 
Utopolo ..takataka kama Takataka..

Mkia Fc

Inasemekana wana umri sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

JamiiForums-1063959033.jpg
 
Huku Arusha nje ya Uwanja wa Sheikh Amri abeid kumezagaa jezi nyekundu za Wana Msimbazi alafu kwenye ghorofa la jirani na uwanja lina rangi ya kijani na njano.
 
Luis Miquissone na Pascal Wawa wamerejea nchini na watakuwa sehemu ya kikosi ambacho kitaenda jijini Arusha kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo FC ambao utapigwa jumapili Agosti 30, 2020. #NguvuMoja https://t.co/bX0SBGkEhv
 
Mashabiki bado wako airpot kumsubiri yacouba [emoji38] [emoji38]

Naskia kapitia bandarini na boti
 
Back
Top Bottom