Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
𝙽𝚊𝚘𝚗𝚊 𝚞𝚗𝚊𝚝𝚎𝚜𝚎𝚔𝚊, 𝚞𝚝𝚘𝚙𝚘𝚕𝚘 𝚔𝚊𝚝𝚒𝚔𝚊 𝚞𝚋𝚘𝚛𝚊 𝚠𝚊𝚔𝚘, 𝚖𝚞𝚖𝚎𝚊𝚖𝚞𝚊 𝚔𝚞𝚓𝚒𝚏𝚒𝚌𝚑𝚊 𝚔𝚒𝚖𝚋𝚒𝚓𝚒 𝚔𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎 𝚖𝚊𝚔𝚊𝚣𝚒 𝚢𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚞Hii nayo ya bwana Mungalu vipi!? Njaa imeanza mapema!? Ujanja janja Wa kizamani sasa hivi hauna nafasi tena shenzi taipu!View attachment 1557430
𝙼𝚣𝚎𝚎 𝚘𝚗𝚢𝚊𝚗𝚐𝚒 𝚗𝚒 𝙼𝚅𝙿 𝚠𝚊 𝚔𝚎𝚗𝚢𝚊 𝚗𝚊 𝚖𝚣𝚎𝚎 𝚔𝚊𝚐𝚎𝚛𝚎 𝚝𝚘𝚙 𝚜𝚌𝚘𝚛𝚎𝚜 𝚠𝚊 𝚕𝚒𝚐𝚒, 𝚑𝚊𝚢𝚊 𝚞𝚔𝚘 𝚔𝚠𝚎𝚗𝚞 𝚞𝚝𝚘𝚙𝚘𝚕𝚘𝚗𝚒 𝚠𝚊𝚙𝚘 𝚑𝚊𝚘?Nasikia Mzee Onyango na Mzee Kagere wanataka kila siku asubuhi shikamoo ziwe zinatolewa kwa wakati tena na watu wote hadi kina kishingo na Matola. Baada ya kishingo kuchelewa kutoa shikamoo ndipo akakutana na mkono Wa sheria Wa Terminator!!
Hii nayo ya bwana Mungalu vipi!? Njaa imeanza mapema!? Ujanja janja Wa kizamani sasa hivi hauna nafasi tena shenzi taipu!View attachment 1557430
Kuhusu hili ulilolisema Bwana Luc alimwambia mwandishi Wa habari kama ifuatavyo "I don't enjoy your country, you are uneducated"! So hilo alirusha kwa Wa TZ wote nashangaa bado unamshangilia. Nadhani ni ile athari ya maneno ya Mzee Rage. Mkuu sahz ukichelewa kutoa shikamoo kwa wakati unakula mabanziBaada ya Eymael kusema Washabiki wa Yanga ni Uneducated mmoja huyu hapa ameamua kujitokeza.
Ungekuwa na akili hata nusu ya unazopaswa kuwanazo basi ungefuta huu utopolo wako.
Mbumbumbu fc mnaendeleaje?,Nasikia kishingo yupo Kcmc anatibiwa
Kwa majibu haya huyu bwana atakuwa amekula makofi kweli!
Kuhusu hili ulilolisema Bwana Luc alimwambia mwandishi Wa habari kama ifuatavyo "I don't enjoy your country, you are uneducated"! So hilo alirusha kwa Wa TZ wote nashangaa bado unamshangilia. Nadhani ni ile athari ya maneno ya Mzee Rage. Mkuu sahz ukichelewa kutoa shikamoo kwa wakati unakula mabanzi
Nyani fc, Mambwa alisema nani?Kuhusu hili ulilolisema Bwana Luc alimwambia mwandishi Wa habari kama ifuatavyo "I don't enjoy your country, you are uneducated"! So hilo alirusha kwa Wa TZ wote nashangaa bado unamshangilia. Nadhani ni ile athari ya maneno ya Mzee Rage. Mkuu sahz ukichelewa kutoa shikamoo kwa wakati unakula mabanzi
[emoji196][emoji196][emoji196]𝚂𝙿𝙾𝚁𝚃𝚂 𝙲𝙻𝚄𝙱!!LADIES SPORTS CLUB!!
Sasa hivi ni 7-1Mbumbumbu nasikia huko "twita" dr.kigwangalla anaongoza mbili bila..
Na bado anaupiga mwingiii[emoji23][emoji23]Sasa hivi ni 7-1
HahahaaaaNa bado anaupiga mwingiii[emoji23][emoji23]