Hii nayo ya bwana Mungalu vipi!? Njaa imeanza mapema!? Ujanja janja Wa kizamani sasa hivi hauna nafasi tena shenzi taipu!
 
Hii nayo ya bwana Mungalu vipi!? Njaa imeanza mapema!? Ujanja janja Wa kizamani sasa hivi hauna nafasi tena shenzi taipu!View attachment 1557430
π™½πšŠπš˜πš—πšŠ πšžπš—πšŠπšπšŽπšœπšŽπš”πšŠ, πšžπšπš˜πš™πš˜πš•πš˜ πš”πšŠπšπš’πš”πšŠ πšžπš‹πš˜πš›πšŠ πš πšŠπš”πš˜, πš–πšžπš–πšŽπšŠπš–πšžπšŠ πš”πšžπš“πš’πšπš’πšŒπš‘πšŠ πš”πš’πš–πš‹πš’πš“πš’ πš”πš πšŽπš—πš’πšŽ πš–πšŠπš”πšŠπš£πš’ 𝚒𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚞
 
Nasikia Mzee Onyango na Mzee Kagere wanataka kila siku asubuhi shikamoo ziwe zinatolewa kwa wakati tena na watu wote hadi kina kishingo na Matola. Baada ya kishingo kuchelewa kutoa shikamoo ndipo akakutana na mkono Wa sheria Wa Terminator!!
π™Όπš£πšŽπšŽ πš˜πš—πš’πšŠπš—πšπš’ πš—πš’ π™Όπš…π™Ώ 𝚠𝚊 πš”πšŽπš—πš’πšŠ πš—πšŠ πš–πš£πšŽπšŽ πš”πšŠπšπšŽπš›πšŽ πšπš˜πš™ πšœπšŒπš˜πš›πšŽπšœ 𝚠𝚊 πš•πš’πšπš’, πš‘πšŠπš’πšŠ πšžπš”πš˜ πš”πš πšŽπš—πšž πšžπšπš˜πš™πš˜πš•πš˜πš—πš’ πš πšŠπš™πš˜ πš‘πšŠπš˜?
 
Baada ya Eymael kusema Washabiki wa Yanga ni Uneducated mmoja huyu hapa ameamua kujitokeza.
Ungekuwa na akili hata nusu ya unazopaswa kuwanazo basi ungefuta huu utopolo wako.
Kuhusu hili ulilolisema Bwana Luc alimwambia mwandishi Wa habari kama ifuatavyo "I don't enjoy your country, you are uneducated"! So hilo alirusha kwa Wa TZ wote nashangaa bado unamshangilia. Nadhani ni ile athari ya maneno ya Mzee Rage. Mkuu sahz ukichelewa kutoa shikamoo kwa wakati unakula mabanzi
 
Safari hii vijana waliochoka kutoa shikamoo watakula makofi hadi wanyooke
Your browser is not able to display this video.
 
Mbumbumbu fc mnaendeleaje?,Nasikia kishingo yupo Kcmc anatibiwa
 
Nyani fc, Mambwa alisema nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…