3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Yanga wanauma meno bila mipango... wao kukimbiakimbia tu uwanjani ndio wanajisifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wanauma meno bila mipango... wao kukimbiakimbia tu uwanjani ndio wanajisifu
Tumeshawachapa tawi lenu la Mbeya uko sasa tunawataka nyie
Huna timu hiyo wewe.. endelea kujifuaTumeshawachapa tawi lenu la Mbeya uko sasa tunawataka nyie
Ngoja wajifariji tu
Kumbe nyie mkifungwa mmepewa pesa?... hiyo sio timu sasa.Hivi FA si mlikuwa mmeshampa Mzee Morrison midolali elfu 5!?
Tuliposema hatutoi kibali cha Morrison nadhani hamkuelewa. Sisi tumeshikilia kibali chetu cha Sumbawanga, Tanga na Bagamoyo... Nyie mbaki na kibali chenu feki mlichopewa na TifuaTifua(TFF) muone kama huyo Nguchiro atacheza msimu huu.... HATUTOI KIBALI CHA MORRISON KUCHEZA . Mashitaka yetu yalishafika makao makuu ya FIFA kule Sumbawanga. Pia tumeshitaki mahakama za CAS kule Bagamoyo
Morrison kesi ya FIFA leteni majibuTuliposema hatutoi kibali cha Morrison nadhani hamkuelewa. Sisi tumeshikilia kibali chetu cha Sumbawanga, Tanga na Bagamoyo... Nyie mbaki na kibali chenu feki mlichopewa na TifuaTifua(TFF) muone kama huyo Nguchiro atacheza msimu huu.... HATUTOI KIBALI CHA MORRISON KUCHEZA . Mashitaka yetu yalishafika makao makuu ya FIFA kule Sumbawanga. Pia tumeshitaki mahakama za CAS kule Bagamoyo
Achana na mabingwa wa nchi weweGOOOOOO.... SIMBA 2-1 MTIBWA... dakika ya 99 hapa Barbarason Gonzalez anafunga bao la ushindi... Krosi safi kabisa kutoka kwa Hashimu Rungwe Ubwabwa Kigwangallaha mabodabodaView attachment 1568083
Nyie mikia uyo Mo ashaeka 20B?
Mbona ni nyingi sana kuwaona hawa madingi!?
Hawa madingi a.k.a TASAF FC baraza la wazee wa bei rahisiMbona ni nyingi sana kuwaona hawa madingi!?
Kweli!Tangia sisi Simba tuanze kuongozwa na Bar ya Bara (Bar-Bara) tumeiga mifumo ya jinsia ingine ikiwemo kufuatilia kila siku maisha ya jirani yetu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Queens a.k.a Eagles a.k.a Sundeeland a k.a Simba wamekusikiaTupeleke hela ya refa mapema ili atubebe leo tupate points 3
[emoji23][emoji23]uto mtuache mbona mnapenda kutuzushia.Tupeleke hela ya refa mapema ili atubebe leo tupate points 3