Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Tuliposema hatutoi kibali cha Morrison nadhani hamkuelewa. Sisi tumeshikilia kibali chetu cha Sumbawanga, Tanga na Bagamoyo... Nyie mbaki na kibali chenu feki mlichopewa na TifuaTifua(TFF) muone kama huyo Nguchiro atacheza msimu huu.... HATUTOI KIBALI CHA MORRISON KUCHEZA . Mashitaka yetu yalishafika makao makuu ya FIFA kule Sumbawanga. Pia tumeshitaki mahakama za CAS kule Bagamoyo

Morrison kesi ya FIFA leteni majibu
 
3000
FB_IMG_16004526015705012.jpg
Screenshot_20200918-194214.jpg
 
Tupeleke hela ya refa mapema ili atubebe leo tupate points 3
 
Ukitaka uone hawa watu wanavyochanganyikiwa basi mida hii wasikie marefa wanasema " Leo mkatumie uwezo wenu mshinde sisi tutatenda haki tu Leo"
 
Back
Top Bottom