Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
ππππKoh koh koh koh. Hadi nimepaliwa. Lol.
Pole Mtani.
Wachezaji wetu nusu ni majeruhi Mkuu. ππVp huko Swax?
View attachment 1608709
Pira Biriani leo limechacha
Si wana kikosi kipana hawa mixer Morrisson?Wachezaji wetu nusu ni majeruhi Mkuu. ππ
Pira Maharage. πππPira makandeππ
Bwa shee upo?Simba tupo imara msimu huu tunawapiga nje na ndani hao wajelajela
Baada ya shekhe yahaya bila wewe ndie mrithi wakeMnyama anashinda tatu bila
Kweli kabisa tumeuonawatu wataangalia mpira biriani, mpir ni starehe hatutaki kuona mpia butubutu
Pira topetope tumelionaLeo mnyama akipiga pira biriani plus ushindi mnono mbele ya wajelajela nadharia ya kikosi kipana itapita bila kupingwa
Walipiga sana Kelele tulivyotoa nao Sare PrisonPira Maharage. πππ
Matokeo ushayapata au tukupatie?Leo mnyama akipiga pira biriani plus ushindi mnono mbele ya wajelajela nadharia ya kikosi kipana itapita bila kupingwa
Walisahau kwamba na wao watacheza nao. πWalipiga sana Kelele tulivyotoa nao Sare Prison
Mnajifariji tumewatanguliza tu sherehe yenyewe ni 7 NovemberWalisahau kwamba na wao watacheza nao. [emoji23]
Pira biriani.....shikamooo wajela jela gwaaaaa...Vp huko Swax?
View attachment 1608709
Maviiiiiiiiiii......Mnajifariji tumewatanguliza tu sherehe yenyewe ni 7 November
Tulia wew [emoji38][emoji38][emoji38]Matokeo ushayapata au tukupatie?
Nipo bwasheeBwa shee upo?