Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
😂😂😂😂Koh koh koh koh. Hadi nimepaliwa. Lol.
Pole Mtani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Koh koh koh koh. Hadi nimepaliwa. Lol.
Pole Mtani.
Wachezaji wetu nusu ni majeruhi Mkuu. 😂😂Vp huko Swax?
View attachment 1608709
Pira Biriani leo limechacha
Si wana kikosi kipana hawa mixer Morrisson?Wachezaji wetu nusu ni majeruhi Mkuu. 😂😂
Pira Maharage. 😂😂😂Pira makande😂😂
Bwa shee upo?Simba tupo imara msimu huu tunawapiga nje na ndani hao wajelajela
Baada ya shekhe yahaya bila wewe ndie mrithi wakeMnyama anashinda tatu bila
Kweli kabisa tumeuonawatu wataangalia mpira biriani, mpir ni starehe hatutaki kuona mpia butubutu
Pira topetope tumelionaLeo mnyama akipiga pira biriani plus ushindi mnono mbele ya wajelajela nadharia ya kikosi kipana itapita bila kupingwa
Walipiga sana Kelele tulivyotoa nao Sare PrisonPira Maharage. 😂😂😂
Matokeo ushayapata au tukupatie?Leo mnyama akipiga pira biriani plus ushindi mnono mbele ya wajelajela nadharia ya kikosi kipana itapita bila kupingwa
Walisahau kwamba na wao watacheza nao. 😂Walipiga sana Kelele tulivyotoa nao Sare Prison
Mnajifariji tumewatanguliza tu sherehe yenyewe ni 7 NovemberWalisahau kwamba na wao watacheza nao. [emoji23]
Pira biriani.....shikamooo wajela jela gwaaaaa...Vp huko Swax?
View attachment 1608709
Maviiiiiiiiiii......Mnajifariji tumewatanguliza tu sherehe yenyewe ni 7 November
Tulia wew [emoji38][emoji38][emoji38]Matokeo ushayapata au tukupatie?
Nipo bwasheeBwa shee upo?