Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Wazee wa pira Biriani, Biriani sijui Lina maan wanahara tu Sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Napendekeza uanzishwe uzi maalum kwa ajili ya kuchagiza ushiriki na msisimko wa wanasimba na watanzania wote katika ligi ya mabingwa Afrika 2020/2021. Na ikiwezekana uzi huo uwe na historia ya ushiriki wa timu yetu katika mashindano hayo makubwa kwa ngazi ya vilabu barani Afrika
Uzi kwa ajili ya timu ambayo haivuki mzunguko wa pili?
 
Namnukuu Leo Afisa habari wetu ndugu HAJI MANARA kupitia Twitter yake " tutashinda mechi 20 mfululizo kuanzia Leo" maoni Yangu huyu jamaa anawapa presha tu wachezaji mambo ya ushindi n dk 90 sjui Leo atasemaje matokeo kama yatakuwa haya mechi 2 hii tunashndwa pata point 3
 
Na mechi ndio imeisha hivyo
 
Akaongeza mpira una matokeo matatu, kushinda,sare na kufungwa,lakini leo matokeo ni ya aina moja USHINDI.
Huyu jamaa awahishwe Mirembe atakuwa na tatizo kubwa kuliko tunavyofikiri.
 
Namnukuu Leo Afisa habari wetu ndugu HAJI MANARA kupitia Twitter yake " tutashinda mechi 20 mfululizo kuanzia Leo" maoni Yangu huyu jamaa anawapa presha tu wachezaji mambo ya ushindi n dk 90 sjui Leo atasemaje matokeo kama yatakuwa haya mechi 2 hii tunashndwa pata point 3
Hakuna mtu Mpumbavu Simba kama huyo Zeruzeru wa Uvinza.
 
Back
Top Bottom