Hahahaaaa. Wanalo mwaka huu sie jana kutanguliwa walifurahi mpaka basi.Inawezekana Panadol haiwatibu vizuri waletee na Dawa tatu au dicloper
Mpira hujiasha?!Duuh! 😂😂😂
Bado 5imba tunazo dakika za kukomboa na kuongeza. 😂😂😂Mpira hujiasha?!
Hhhhhhh
Bado Mkuu.Mpira hujiasha?!
Hhhhhhh
Uzi kwa ajili ya timu ambayo haivuki mzunguko wa pili?Napendekeza uanzishwe uzi maalum kwa ajili ya kuchagiza ushiriki na msisimko wa wanasimba na watanzania wote katika ligi ya mabingwa Afrika 2020/2021. Na ikiwezekana uzi huo uwe na historia ya ushiriki wa timu yetu katika mashindano hayo makubwa kwa ngazi ya vilabu barani Afrika
Sasa ndio umeisha Mkuu. 😂😂Mpira hujiasha?!
Hhhhhhh
Na mechi ndio imeisha hivyoNamnukuu Leo Afisa habari wetu ndugu HAJI MANARA kupitia Twitter yake " tutashinda mechi 20 mfululizo kuanzia Leo" maoni Yangu huyu jamaa anawapa presha tu wachezaji mambo ya ushindi n dk 90 sjui Leo atasemaje matokeo kama yatakuwa haya mechi 2 hii tunashndwa pata point 3
Akaongeza mpira una matokeo matatu, kushinda,sare na kufungwa,lakini leo matokeo ni ya aina moja USHINDI.Namnukuu Leo Afisa habari wetu ndugu HAJI MANARA kupitia Twitter yake " tutashinda mechi 20 mfululizo kuanzia Leo" maoni Yangu huyu jamaa anawapa presha tu wachezaji mambo ya ushindi n dk 90 sjui Leo atasemaje matokeo kama yatakuwa haya mechi 2 hii tunashndwa pata point 3
Hakuna mtu Mpumbavu Simba kama huyo Zeruzeru wa Uvinza.Namnukuu Leo Afisa habari wetu ndugu HAJI MANARA kupitia Twitter yake " tutashinda mechi 20 mfululizo kuanzia Leo" maoni Yangu huyu jamaa anawapa presha tu wachezaji mambo ya ushindi n dk 90 sjui Leo atasemaje matokeo kama yatakuwa haya mechi 2 hii tunashndwa pata point 3