Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Jezi za Mabingwa wa Nchi, LIGI YA MABINGWA AFRICA [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
simbasctanzania_4___CHvJJdOnCjF___.jpg
simbasctanzania_6___CHvJJdOnCjF___.jpg
simbasctanzania_5___CHvJJdOnCjF___.jpg
simbasctanzania_3___CHvJJdOnCjF___.jpg
 
Kwa hiyo mwamedi anatuona sisi wapuuzi sana mbona FCC wanakanusha maneno yake aliyoyatoa siku za usoni
Mwamedi ni mjanja hata mashirika ya serikali aliyanunua hivyohivyo, masharti ameweka baada ya kuruhusiwa kuwa mwekezaji, hizo bilioni 20 anazungusha kwenye biashara zake mabaki analeta simba ndio maana anajipendekeza kwa wabunge ili wakitaka kumtoa atetewe
 
Alafu ukisoma waraka no.6 unagundua kuna ujanja ujanja kwenye huu uwekezaji, na bila Shaka kuna kitu Dr. Kigwangala alikinusa, let's wait and see time will tell us
 
Simba mbna haielewek kuna simba ngap?? View attachment 1631777
Huwezi ukaelewa we utopolo fc hayo mambo yako nje ya uwezo wako[emoji1787][emoji1787]

1.Kuna klabu ya Simba

2.Kampuni ya Simba

3.Taasisi ya Simba Kama shirika la umma

Nb: hayo yapo kutokana na Sheria za kiuwekezaji na mabadiliko kutoka kumilikiwa na wanachama 100% kwenda kuwa kampuni yenye hisa (51%) kwa (49%)
 
Alafu ukisoma waraka no.6 unagundua kuna ujanja ujanja kwenye huu uwekezaji, na bila Shaka kuna kitu Dr. Kigwangala alikinusa, let's wait and see time will tell us
Kigwangala kawekwa sawa na fcc
 
Alafu ukisoma waraka no.6 unagundua kuna ujanja ujanja kwenye huu uwekezaji, na bila Shaka kuna kitu Dr. Kigwangala alikinusa, let's wait and see time will tell us
Yanga wanatamani MO aweke 20BL ili wapewe Gawio na Simba.

Wamekazana kama yanawahusu..!!
 
Mtuonyeshe kama mnamchezaji anaeweza kuyafanya hayo kwenye link hapo juu ndo muoongee mikia nyinyi
 
Back
Top Bottom