3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Hawa Uto wanavyoona mnyama anafukia mashimo ya point wanaumia sana.Kama walivyowabeba kwenye mechi ya Yanga VS Simba kwa kuwapa tuta. Na wale Gwambina mlivyowaonea kwa mbeleko za marefa. Labda huangalii mechi ww
Ngoja tuje kukae pale juu uone malalamiko yatakavyojaa pale TFF