Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
IMG-20201223-WA0012.jpg
 
Ila ukweli usemwe wachezaji wengi wa simba hawajitumi uwanjani

Kuna jambo nyuma ya pazia labda
Kuna kujituma na kukosa morali mimi nahisi la pili ndiyo linaloisumbua Klabu kwa sasa.

Wachezaji wanaocheza wametumika for 3 consecutive seasons wakati usajili mpya hauongezi chochote kwenye timu.

Msimu uliopita usajili chanya ni wa Luis Miqussone tu wengine wote wanasugua benchi usajili wa msimu huu the same.

Wachezaji wakitumika muda mrefu tempo ya timu na hamasa ya kupata ushindi huwa inapungua tunahitaji kufanya usajili utakaoleta new motivation kwenye timu.
 
Back
Top Bottom