Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kapambanie kombe la mapinduzi matukufu ya Zanzibar [emoji16][emoji23], hii Ni champions league, siyo mlandege vs utopolo.

Jana mmesumbuliwa na timu daraja la Kwanza Tena inatoka pemba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba pia si imo kwenye michuano ya kombe la mapinduzi? Vipi timu ya Simba ina malengo yapi juu ya kombe hili la mapinduzi?
 
Simba pia si imo kwenye michuano ya kombe la mapinduzi? Vipi timu ya Simba ina malengo yapi juu ya kombe hili la mapinduzi?
Hakuna malengo zaidi ya kuchukua hilo kombe,
Ijumaa jioni kazi itaanza na Mtibwa hapo,
Hao wanatakiwa kutunzwa adabu maana kuna midomo sana ilichongwa walipotubahatisha mwaka jana.
 
Leo simba inarudi shirikisho
Tukajipange upya,
Usajili ujao tuwe serious kidogo kutafuta central back wanaoeleweka na striker,
Mugalu nooo
Tunakuja huko ila ngoja tumalize jukumu la kuliwakilisha taifa [emoji1241] kwanza
 
Simba kama mkude hamumutaki kiungo huyo mkabaji fundi
IMG_20210106_145454_858.jpeg
 
Nasikia wachezaji wao Wa 5 hawatocheza kwa kupatikana na covid basi mnafuraaaahiiii. Kwa wale wazee wenu tabu iko palepale
 
Sioni maajabu kwa Sven nilishasema mwanzo ktk miaka mitano iliyopita haijawahi kupata kocha wa ajabu km huyu. Nilikuwa nahudhuria MO Arena kuangalia Ila nilistop baada ya kutoshawishiwa na mbinu zake. Leo matokeo yote kwangu ni sahihi aliposhinda away alikuja na formation hii kwa pretext kuwa analinda ushindi wake lakini anatakiwa kushinda lazima kaja na ile ile second half atamtoa mugalu na kuingiza striker mwingine basi
 
Back
Top Bottom