Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Sioni maajabu kwa Sven nilishasema mwanzo ktk miaka mitano iliyopita haijawahi kupata kocha wa ajabu km huyu. Nilikuwa nahudhuria MO Arena kuangalia Ila nilistop baada ya kutoshawishiwa na mbinu zake. Leo matokeo yote kwangu ni sahihi aliposhinda away alikuja na formation hii kwa pretext kuwa analinda ushindi wake lakini anatakiwa kushinda lazima kaja na ile ile second half atamtoa mugalu na kuingiza striker mwingine basi
Mpumbavu wewe Sasa mechi ya Leo kocha kakosea wapi
 
Nataka kuiangalia mpira simba vs platenam kwenye simu msaada
 
Back
Top Bottom