Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba 1-0Update
Utopolo fc katika ubora wakoHii game ya Namungo naona Hans Pope kashafanya yake, haiwezekan tunashinda mabao mepesi hivi, kama lile goli la Kagere kipa kala mpunga yan!
Kiwango chake cha kawaida sanaNasikia Mchezaji wa majaribio katika club ya Simba aitwaye Moyo, hatakiwi na Matola na ameondolewa clubuni.
hivi kweli kwa kiwango kile alichoonyesha, kweli Matola ana akili? Au anapiga jalamba ili awasajili wachezaji ambao watakuwa wanampa 10%?
Hivi waafrica tupoje?
mchezaji ni mzuri sana na ana uwezo wa hali ya juu kama kuna mtu aliye mwona. maajabu ameachwa sishangai kwann makocha wa kibongo huwa hawana mbele wala nyuma.
na wenzake wanatakiwa waachwe wachezaji wa kimataifa wanatakiwa waje na vitu vya tofauti akisajiliwa ataishia benchi tuu.Nasikia Mchezaji wa majaribio katika club ya Simba aitwaye Moyo, hatakiwi na Matola na ameondolewa clubuni.
hivi kweli kwa kiwango kile alichoonyesha, kweli Matola ana akili? Au anapiga jalamba ili awasajili wachezaji ambao watakuwa wanampa 10%?
Hivi waafrica tupoje?
mchezaji ni mzuri sana na ana uwezo wa hali ya juu kama kuna mtu aliye mwona. maajabu ameachwa sishangai kwann makocha wa kibongo huwa hawana mbele wala nyuma.
Mchezaji wa kwaida Sana moyo.... wamejaa kibao bongo uchezaji Kama wakeNasikia Mchezaji wa majaribio katika club ya Simba aitwaye Moyo, hatakiwi na Matola na ameondolewa clubuni.
hivi kweli kwa kiwango kile alichoonyesha, kweli Matola ana akili? Au anapiga jalamba ili awasajili wachezaji ambao watakuwa wanampa 10%?
Hivi waafrica tupoje?
mchezaji ni mzuri sana na ana uwezo wa hali ya juu kama kuna mtu aliye mwona. maajabu ameachwa sishangai kwann makocha wa kibongo huwa hawana mbele wala nyuma.
Si Bora Yanga kuliko wewe mshabiki wa Simba una majigambo na mbwembwe nyingi Kama Mwanamke wa kizaramo wakati uwezo wako ni mdogo.Makundi yameshapangwa subiri muda utasemaYanga mnagubu aisee.
Embu tulieni,Simba inabishana na wakubwa wenzie wakina Mazembe,Alhly n,k
Nyinyi Uto wasubirini mashabiki wa Stendi utd na Mboa fc ndo saizi yenu.
Uwezo mdogo wapo Makundi?Si Bora Yanga kuliko wewe mshabiki wa Simba una majigambo na mbwembwe nyingi Kama Mwanamke wa kizaramo wakati uwezo wako ni mdogo.Makundi yameshapangwa subiri muda utasema
We umefika lini huko kwenye makundi? Kufika hiyo hatua sio kama kalio useme kila mtu ana lakeSi Bora Yanga kuliko wewe mshabiki wa Simba una majigambo na mbwembwe nyingi Kama Mwanamke wa kizaramo wakati uwezo wako ni mdogo.Makundi yameshapangwa subiri muda utasema
Anzisha timu yako umsajiliNasikia Mchezaji wa majaribio katika club ya Simba aitwaye Moyo, hatakiwi na Matola na ameondolewa clubuni.
hivi kweli kwa kiwango kile alichoonyesha, kweli Matola ana akili? Au anapiga jalamba ili awasajili wachezaji ambao watakuwa wanampa 10%?
Hivi waafrica tupoje?
mchezaji ni mzuri sana na ana uwezo wa hali ya juu kama kuna mtu aliye mwona. maajabu ameachwa sishangai kwann makocha wa kibongo huwa hawana mbele wala nyuma.
Kwahiyo wewe huna kalio ?We umefika lini huko kwenye makundi? Kufika hiyo hatua sio kama kalio useme kila mtu ana lake
Sio makosa yangu ww kutokua na akiliKwahiyo wewe huna kalio ?
We akili unazo ?Sio makosa yangu ww kutokua na akili