Kikosi cha pili kimejitahidi sana. Wanaume wenyewe walikuwa bench wakiwaangalia wadogo zao wakikipiga na Nyani FC kwenye kombe la mbuzi wa Mapinduzi. Kikosi kipana kinajiweka sawa sasa kwenda kupambana na mabingwa wenzao kwenye kombe la mabingwa
Kwenye logi hawakuwepo eeh , mambo ya sizitaki mbichi hizi
 
Mkosaji ndiyo zake hizi, sizitaki mbichi hizi wakati huna uwezo nazo, mmetoboka kubali yaishe
.
Kikosi cha pili kimejitahidi sana. Wanaume wenyewe walikuwa bench wakiwaangalia wadogo zao wakikipiga na Nyani FC kwenye kombe la mbuzi wa Mapinduzi. Kikosi kipana kinajiweka sawa sasa kwenda kupambana na mabingwa wenzao kwenye kombe la mabingwa
 
Kikosi cha pili kimejitahidi sana. Wanaume wenyewe walikuwa bench wakiwaangalia wadogo zao wakikipiga na Nyani FC kwenye kombe la mbuzi wa Mapinduzi. Kikosi kipana kinajiweka sawa sasa kwenda kupambana na mabingwa wenzao kwenye kombe la mabingwa
Metacha
Moro
Asogne
Faytoto
Mwamnyeto
Kaseke
Yasin
 
Simba na Yanga hakn ata mmj aliefanya la maan ndan ya miaka yote io, timu ata viwanja havina, mmj atakwambia kaishia sijui robo fainal club bingw mwingne sijui bingwa wa kihistoria upuuz mtupu [emoji23]
Acha kuficha ukweli.. robo fainal unaiona mchezo?
 
UTO wamejitahidi sana.. ila refa ile ngumi ya Haruna angekula Red wangesema tunabebwa.
 
Paka mweusi [emoji250] Unateseka ukiwa wapi

Unashangilia hela za Mo

Utelembwe ndio shabiki wa kwanza duniani kushangilia hela, mashabiki kwa kawaida huwa tunashangilia makombe [emoji250], kama la jana lile

Nimekupapasa mtani, kubali tu kupapasika, usiwe mbishi mtani... PAPASIKA TU [emoji1787][emoji1787]
Sawa Nyani Fc tambeni na m15 zenu ila mkumbuke mnaowatambia wana b1.5 zao champions league
 
Sawa Nyani Fc tambeni na m15 zenu ila mkumbuke mnaowatambia wana b1.5 zao champions league
Tumewazidi kwanza

MAPINDUZI CUP FINAL

Mshindi 1 Mil 15 (Yanga)

Mshindi 2 Mil 10 (SIMBA)

Chezaji Bora mil 4
Kahata ( SIMBA )

Mfungaji bora Mil 3
Miraj (SIMBA)

Man of the match mil 1

Achieng (SIMBA)

Jumla
Yanga Mil 15
SIMBA Mil 18
 
Tumewazidi kwanza

MAPINDUZI CUP FINAL

Mshindi 1 Mil 15 (Yanga)

Mshindi 2 Mil 10 (SIMBA)

Chezaji Bora mil 4
Kahata ( SIMBA )

Mfungaji bora Mil 3
Miraj (SIMBA)

Man of the match mil 1

Achieng (SIMBA)

Jumla
Yanga Mil 15
SIMBA Mil 18

Kweli Kabisa halafu wenyewe hata hawaelewi
 
Unashangilia kombe lipi mtani??? La mapinduzi auu ila mna haki maana mna muda mrefu hamnyanyua kombe lolote
 
Tumewazidi kwanza

MAPINDUZI CUP FINAL

Mshindi 1 Mil 15 (Yanga)

Mshindi 2 Mil 10 (SIMBA)

Chezaji Bora mil 4
Kahata ( SIMBA )

Mfungaji bora Mil 3
Miraj (SIMBA)

Man of the match mil 1

Achieng (SIMBA)

Jumla
Yanga Mil 15
SIMBA Mil 18
Kunywa maji upoze koo, ushakula kipigo mambo ya hela pigeni mahesabu kwenu huko huko.
 
Ivi uongozi wanafatiliaga na Statistics za mchezaji kweli??Au ataifunga tu anafaa aya yakusajili kwa kukomoana yatakuja kututokea puani enewei chikwende mtoto wa chikumbalaga karibu UNYAMANI[emoji95][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…