sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
Kwenye logi hawakuwepo eeh , mambo ya sizitaki mbichi hiziKikosi cha pili kimejitahidi sana. Wanaume wenyewe walikuwa bench wakiwaangalia wadogo zao wakikipiga na Nyani FC kwenye kombe la mbuzi wa Mapinduzi. Kikosi kipana kinajiweka sawa sasa kwenda kupambana na mabingwa wenzao kwenye kombe la mabingwa