Mungu ni mwemaTanzania One [emoji419]View attachment 1715413
Lamli na hujawahi toa majibu tofauti na haya tunakujua so uko very biasedIla hizi jezi ni mbayaa halafu hawa El Merrikeh si wahuni wa sudan ya Kaskazini au ni kusini mazee ..me naona kabisa hii game tunapoteza sisi mikia fc halafu mwarabu al ahaly ananipigia huyu as vita ili tukienda kule misiri tukakamilishe ratiba maana tutaoga goli za kutosha pale[emoji2][emoji2]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
#AIR MANULAMungu ni mwema
Jumamosi tutamuona langoni
Tulia kiazi wewe naona umeandika huku unaliaaaa 🤣🤣🤣🤣
Ukhali gani lakini mwana Utopolo baada ya coastal Union kukata utepe?
Yani sijui niamie simba mazee nishaurini wakuu..Ukhali gani lakini mwana Utopolo baada ya coastal Union kukata utepe?
Dada zetu wanapigwa kwa mara ya kwanza Leo Kama kaka zao jana
Ngapi ngapi?Dada zetu wanapigwa kwa mara ya kwanza Leo Kama kaka zao jana
FT: Yanga Princess 0 - Simba Queens 3Ngapi ngapi?
Hamia tu msimbazi
Wanashawishi kiaina,Rafiki yangu Mgosi ndio anashinda nao muda wote hawa.