Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez leo amekutana na Rais wa Shirikisho la Soka duniani (FIFA), Gianni Infantino jijini Rabat, Morocco ambako umefanyika uchaguzi wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF). Simba ni mambo makubwa tu. #NguvuMoja https://t.co/F8c0mFZx2R
 
Wakuu Caf wamekataza mashabaki kuanzia game ijayo ya ligi ya mabingwa..hii haiwezi kuathiri kwa namna yoyote morale ya timu?
 
"Mechi yetu na Al Merrikh ipo pale pale lakini wakati tukiendelea na maandalizi tumepokea taarifa kutoka TFF ambayo imetolewa na CAF kwamba tucheze bila mashabiki."- Haji Manara. #NguvuMoja https://t.co/ZGCGtYSdus
 
Tulikosea kutoshinda Sudan, hii mechi naona ni draw
Acha draw..kuna hali fulani naiona kama ya kutuuandaa kisaikolojia,dizaini kama shughuli inaweza kuishia hapa..
 
Ruvu shooting🔥 tunawatakia ushindi wawakilishi wetu katika mashindano🏆 ya #CAFCL timu ya SimbaSC🦁 katika mchezo wao leo pale Dar es salaam
Ruvu shooting🔥 tunaendelea kuwaunga mkono wawakilishi wetu katika mashindano ya kimataifa Tunasema tofauti zetu ni katika ligi 🇹🇿 kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…