Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikosea kutoshinda Sudan, hii mechi naona ni drawWakuu Caf wamekataza mashabaki kuanzia game ijayo ya ligi ya mabingwa..hii haiwezi kuathiri kwa namna yoyote morale ya timu?
Acha draw..kuna hali fulani naiona kama ya kutuuandaa kisaikolojia,dizaini kama shughuli inaweza kuishia hapa..Tulikosea kutoshinda Sudan, hii mechi naona ni draw
Wale kina Mugalu sio kabisa.Acha draw..kuna hali fulani naiona kama ya kutuuandaa kisaikolojia,dizaini kama shughuli inaweza kuishia hapa..
Hiyo ndio simba brother
Naombeni koneksheni ya kumpata huyu dada wa kati kati apo..