Spoken like a true patriot
 
Kwenye game zenu za Championship zilizobaki mnapigwa zote.
Al Ahaly atawabamiza bao tano.
As Vita game za ugenini hajapoteza hata moja, hivyo pale taifa moto utawaka ..mtabamizwa kama siyo tano basi ni tatu..
Kwa wastani hapo mutakuwa mumepigwa siyo chini ya bao nane hivi, kwenye kufuzu mtashaaa maana mtaishia nafasi ya tatu..

#MkiaNguvuMoja .

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kupiga ramli bila kuweka ahadi haipendezi hata kidogo. Watopolo wenzako waliahidi kutembea uchi, mwingine akaahidi kujisaidia hadharani, juzi na El Mereikh mwingine akaahidi kugawa figo, ilipendeza kidogo ingawa hakuna aliyetekeleza. Tunaomba na wewe unahidi nini? Ukiahidi kugawa mke wako itakuwa nzuri zaidi
 
Kuna mwingine alisema atajipiga ban lakini kila siku tuko naye
 
Ongeza volume kidogo husikiki huku
 
Hahahaha mke wangu hapana aise nampenda sana ..labda tufanye hivi ..MSIPOPIGWA NA AL AHALY, NA AS VITA BASI MIMI NAHAMIA SIMBA RASMI NIACHANE NA ULE UTOPOLO WETU WA JANGWANI, ila mkipigwa aise nitawacheka balaa...hapo ndo nitaamin MKIA NI MKIA TU HAUWEZI KUWA KICHWA.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi naamini Yanga bado ni timu tishio zaid hapa barani Africa.
Hii simba ni upepo tu wa marefa unawabeba.
#daimambelemwikonyumaYanga.[emoji172][emoji172][emoji172]
 
Mimi naamini Yanga bado ni timu tishio zaid hapa barani Africa.
Umenena vyema kusema 'wewe unaamini', na bahati mbaya mambo ambayo yanaamua ubora wa timu sio ya kiimani kiasi cha kukufanya 'uamini', badala yake ni mchakato wa kisayansi ndio utakaoamua timu ipi ni bora barani Afrika na ipi si bora. Kwa taarifa tu, kwa list iliyotoka mara ya mwisho na vyombo rasmi, Namungo ni bora kuliko Yanga barani Afrika

Source: Wikipedia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…