Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
- Thread starter
- #6,041
Mwaka wetu huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamuweza au ulimi nje?Naombeni koneksheni ya kumpata huyu dada wa kati kati apo..
Mkinipatia nitahamia simba rasmi
Spoken like a true patriotRuvu shooting[emoji91] tunawatakia ushindi wawakilishi wetu katika mashindano[emoji471] ya #CAFCL timu ya SimbaSC[emoji881] katika mchezo wao leo pale Dar es salaam
Ruvu shooting[emoji91] tunaendelea kuwaunga mkono wawakilishi wetu katika mashindano ya kimataifa Tunasema tofauti zetu ni katika ligi [emoji1241] kuu
Sasa nashindwaje shoo kama hizo? Wee nipe mchongoUtamuweza au ulimi nje?
Tarehe 3 AprilNext metch champions league tunacheza lin
Umekosa quotes za kupost eehhNyie watu wa simba mnapaswa mfungwe mawe na mtupwe baharini.
Kupiga ramli bila kuweka ahadi haipendezi hata kidogo. Watopolo wenzako waliahidi kutembea uchi, mwingine akaahidi kujisaidia hadharani, juzi na El Mereikh mwingine akaahidi kugawa figo, ilipendeza kidogo ingawa hakuna aliyetekeleza. Tunaomba na wewe unahidi nini? Ukiahidi kugawa mke wako itakuwa nzuri zaidiKwenye game zenu za Championship zilizobaki mnapigwa zote. Al Ahaly atawabamiza bao tano. As Vita game za ugenini hajapoteza hata moja, hivyo pale taifa moto utawaka ..mtabamizwa kama siyo tano basi ni tatu.. Kwa wastani hapo mutakuwa mumepigwa siyo chini ya bao nane hivi, kwenye kufuzu mtashaaa maana mtaishia nafasi ya tatu..
#MkiaNguvuMoja .
Kuna mwingine alisema atajipiga ban lakini kila siku tuko nayeKupiga ramli bila kuweka ahadi haipendezi hata kidogo. Watopolo wenzako waliahidi kutembea uchi, mwingine akaahidi kujisaidia hadharani, juzi na El Mereikh mwingine akaahidi kugawa figo, ilipendeza kidogo ingawa hakuna aliyetekeleza. Tunaomba na wewe unahidi nini? Ukiahidi kugawa mke wako itakuwa nzuri zaidi
Ongeza volume kidogo husikiki hukuKwenye game zenu za Championship zilizobaki mnapigwa zote.
Al Ahaly atawabamiza bao tano.
As Vita game za ugenini hajapoteza hata moja, hivyo pale taifa moto utawaka ..mtabamizwa kama siyo tano basi ni tatu..
Kwa wastani hapo mutakuwa mumepigwa siyo chini ya bao nane hivi, kwenye kufuzu mtashaaa maana mtaishia nafasi ya tatu..
#MkiaNguvuMoja .
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Pira biriani au pira matakatakaJaman Simba anacheza lini tena maan tumekumic mpira biriani
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Hahahaha mke wangu hapana aise nampenda sana ..labda tufanye hivi ..MSIPOPIGWA NA AL AHALY, NA AS VITA BASI MIMI NAHAMIA SIMBA RASMI NIACHANE NA ULE UTOPOLO WETU WA JANGWANI, ila mkipigwa aise nitawacheka balaa...hapo ndo nitaamin MKIA NI MKIA TU HAUWEZI KUWA KICHWA.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kupiga ramli bila kuweka ahadi haipendezi hata kidogo. Watopolo wenzako waliahidi kutembea uchi, mwingine akaahidi kujisaidia hadharani, juzi na El Mereikh mwingine akaahidi kugawa figo, ilipendeza kidogo ingawa hakuna aliyetekeleza. Tunaomba na wewe unahidi nini? Ukiahidi kugawa mke wako itakuwa nzuri zaidi
As Vita watawashangaza nakuambia.As Vital wanakuja tz huku bila Djuma shabaan beki sumbufu hivyo kuchomoka shida.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Umenena vyema kusema 'wewe unaamini', na bahati mbaya mambo ambayo yanaamua ubora wa timu sio ya kiimani kiasi cha kukufanya 'uamini', badala yake ni mchakato wa kisayansi ndio utakaoamua timu ipi ni bora barani Afrika na ipi si bora. Kwa taarifa tu, kwa list iliyotoka mara ya mwisho na vyombo rasmi, Namungo ni bora kuliko Yanga barani AfrikaMimi naamini Yanga bado ni timu tishio zaid hapa barani Africa.