kunani leo Kigoma mwisho wa reli kuelekea mchezo wa watani wa jadi[emoji460][emoji460]
Simba leo namuona akiingia kwa tahadhari ya kupata matokeo mapema akiamini kumruhusu yanga kutangulia kutikisa Nyavu itakuwa ni kosa kubwa kwao na yanga wanamfumo wakuweza kuzuia na kulinda matokeo endapo watafanikiwa kuongoza kupata gori...
Hivyo Tutegemee timu zote kucheza kwa nidhamu kubwa japo naiona timu ya simba ikiingia kwa pressure kubwa ya kupata matokeo ukilinganisha na mahasimu wao yanga.
Soccer siku zote ni burudani na mchezo wa makosa anaechanga kalata vizur ndio anaondoka na ushindi.
 
Manara ndo alisababisha hii Mikia fc kufika mbali kimtindo kwenye championship. Sasa mmemtimua hamasa kwa wachezaji itashuka kabisa na kufanya muanze kutetereka. Manara bado atabaki kuwa MTU muhimu katika hii club ya mikia.
Anacheza namba ngapi kwenye kikosi cha Simba?
 
Manara ndo alisababisha hii Mikia fc kufika mbali kimtindo kwenye championship. Sasa mmemtimua hamasa kwa wachezaji itashuka kabisa na kufanya muanze kutetereka. Manara bado atabaki kuwa MTU muhimu katika hii club ya mikia.
Kwa hio wewe kama uto umefurahi au umechukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…