Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Huyu mudi kama kawapiga thimba hivi,ila ngoja nione.#Chanjoimenipatumaini [emoji16]
 
Hata wewe ukitaka kuja kutupiga njoo uweke billion 20 zingine [emoji23] sisi tunataka makombe na team ifanye vizuri basi
Bado nawaza kama mudi anadai kaweka 49%, akajipinda tena akampa kimbebezi babra 5% ya maji, alafu ka wifi ka babra kakaweka 10%. Ninyi wana chama na wapenzi wa thimba, Nguvu ya kumwambi mudi out, mtaitoa wapi? pale kanjibai, akianza kwenda mwendo wa glazer? [emoji16]
 
IMG_3810.jpg
 
Who is next in the Hse 2021 - 2022 !! Peter Bandaaaaaaaaaa !!!!

Hutaki tangulia Burundi.


 
Hivi ishu ya Sisi kuibiwa Peter Banda ni kweli? Hawa Yanga mbona wananitetemesha tumbo hivi?
 
sema kitu anafanya Benard Morrison akiwa kwao kwenye mapumziko mi kikubwa , anaitangaza vyema SIMBA nje ya mipaka

kupitia page yake ya instagram
 
Back
Top Bottom