Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Simba hadi raha sasa weekend hii safiiiiiiiiiiiiiiiii - Mgosi 1, Banka 1, Kijuso 1 wao 0
 
Hawa jamaa hawana chao kwa mnyama teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh
 
Sasa ngoja nikapate moja baridi...Hongera Wachezaji,Viongozi, Friends of Simba na wote walio shiriki kutuletea furaha wapenzi wa Simba........
 
Updates::::SIMBA WON 3 - 0 LENGTHENS.....(MGOSI, BANKA and KIJUSO).............kwa wale walioko Tanzania TBC wataonyesha marudio ya hiyo mechi.BIG up mnyama
 
Updates::::SIMBA WON 3 - 0 LENGTHENS.....(MGOSI, BANKA and KIJUSO).............kwa wale walioko Tanzania TBC wataonyesha marudio ya hiyo mechi.BIG up mnyama
Naanza kuona dalili za kutokuwepo mechi ya marudiano
cMosi jamaa hawana pesa kitendo cha kushindwa kulipia hotel kwa ajili ya wageni ni alama tosha kwamba Manji wao kawasusa.
Pili kichapo walichochezea wameshajua kabisa wameingia choo cha kike. Hawatataka kupoteza pesa zao kiduchu wakati hawaendi kokote.
 
Members 57 matokeo rasmi hayajulikani ... .... ndio mambo ya Simba na Yamga kupitia kwa yahaya. Khe khe kheeeeee

Kwani mkuu matokeo si yametolewa hapo juu na baadh ya wachangiaji.
Simba 3 maKurefusha 0.
Source: mlimani tv!
Au?
 
LENGTHENS LOST TO SIMBA SC

Source: www.lengthens.co.zw

Richard Mteki played his heart out in Lengthens losing cause against Simba SC of Tanzania as the Happy People slumped to a demoralizing 3-0 defeat at Rufaro Stadium on Friday.

It was a nightmarish day in the office for the Mandla Masuku coached side as goalkeeper Lovemore Makwavarara made mistakes between the posts to let in the three goals that effectivey dashed Lengthens’ hopes of progressing to the later stages of the CAF Confederations Cup.

Masuku could not hide his disappointment with the goalkeeper and blamed him for the Happy People’s misfortunes and misery. “If you are a goalkeeper and you let in such goals then he should know that he has let the nation down,” said a visibly shaken Masuku.

“We have made life difficult for ourselves,” Masuku said.

But in his sadness, Masuku remained optimistic that his side can overturn the tables in Tanzania. “If they can score three goals away from home, we can also do the same,” he said and added: “We will try and overturn the tables in Tanzania”.

Lengthens dominated proceedings, especially in the early stages of the match and also during the later minutes, with Mteki playing his heart out. Bruce Tshuma, captain for the day also played well but it was always going to be difficult for the home side, especially with Ndumiso Khanye missing after picking up a red card in Madagascar against AS Adema.

The Simba Stars coach was happy that his side had picked up maximum points away from home: “It was a tough match we had and we are now looking forward to the next match,” he said, adding: “We are happy with the result”.

“We will now go and play an attacking style at home as we were very defensive today, bearing in mind that we are away.

Lengthens introduced three substitutes at the start of the second half but Dylan Chiroodza, Patrick Makuvaza and Mike Mhunga could not change the face of the game.

Admire Dzukamanja and Artwell Nyamiwa missed a lot of opportunities as the match progressed and they will certainly feel bad as Lengthens could have won the match had they taken those chances.

Nyamiwa missed golden opportunities from close range while the entire Lenthens side failed to utilize set-pieces while their opponents got two of their three goals from freekicks.

“This is a poor performance by the boys,” said John Chikochi, one of the Lengthens directors.

“They should have done better, especially when missing those golden chances,” he told the Lengthens website.

Last Updated on Friday, 19 March 2010 17:24

*
Hongereni sana watani wetu wa jadi ama kwa hakika Simba ni Simba tu sijua Yanga huwa tunashindwaga wapi???
 
Watani kumbe katimu kenyewe cha mdoli na ni kajuzi juzi tu;

Some Facts:

Soccer originated generally in its present form in Britain.

Zimbabwe's oldest club formed in 1926 is Highlanders.

Lengthens "Happy People" was formed in 2002, promoted into top flight league in 2007

Currently coached by Mandla Masuku.

Some famous players: George "Mastermind" Shaya, John "JP" Phiri, Freddy "Daddy" Mukwesha, Moses "Bambo" Chunga, Bruce "Jungleman" Grobbellar, Francis Shonhai, Benjamin Konjera, Peter "Sukuzonke" Ndlovu, Benjani "Undertaker" Mwaruwari, Ronald "Gidiza" Sibanda, Evans Gwekwere
 
Mfunyukuzi, mnaposhindwaga nyie ni pale mnapofanya usajili wa misifa ya majina, kutapanya hela za mjomba'enu Manji bila kujali quality ya bidhaa. Huwa mnajaji buks bai zea kavaz
 
Kwani mkuu matokeo si yametolewa hapo juu na baadh ya wachangiaji.
Simba 3 maKurefusha 0.
Source: mlimani tv!
Au?
Kuna member aliweka 2 - 0 etc. Naona sasa haya ndiyo matokeo rasmi. Thanks.
 
Thimba thimba thimba yaani tukiwafunga mnasema timu ilikuwa nyepesi ninyi ndala kweli hamkosi la kusema jamani loool popopopopooooooo oooooh kidedeaaaaa yaani hao ndo Simba wazee wa kimataifa bana tunataka tufanye mafanikio ya wakati wa Siang'a au kocha mchezaji Hassan Hafif
 
Mnyama anaendelea kuweka Clean Sheet dose tu nje na ndani ya nchi...BIG UP MNYAMAAAA tafunaa nyam! nyam!
 
Thimba thimba thimba yaani tukiwafunga mnasema timu ilikuwa nyepesi ninyi ndala kweli hamkosi la kusema jamani loool popopopopooooooo oooooh kidedeaaaaa yaani hao ndo Simba wazee wa kimataifa bana tunataka tufanye mafanikio ya wakati wa Siang'a au kocha mchezaji Hassan Hafif

Hapo kwenye red umenikumbusha mbali sana,huyo kocha kweli alichangamsha soka bana enzi zile miaka ya mwishoni mwa 80 na 90 mwanzoni.
 
Back
Top Bottom