Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
- Thread starter
- #641
haya ndio mambo ...mpira ulianza saa 18:00Mpira ni mapumziko, kwa mujibu wa Cliford Ndimbo, Simba 2 - Wazimbawe 0. Magoli yamefungwa na Mgosi na Banka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya ndio mambo ...mpira ulianza saa 18:00Mpira ni mapumziko, kwa mujibu wa Cliford Ndimbo, Simba 2 - Wazimbawe 0. Magoli yamefungwa na Mgosi na Banka
tupe updates...haya ndio mambo ...mpira ulianza saa 18:00
umetoa wapi updates?Simba hadi raha sasa weekend hii safiiiiiiiiiiiiiiiii - Mgosi 1, Banka 1, Kijuso 1 wao 0
Simba hadi raha sasa weekend hii safiiiiiiiiiiiiiiiii - Mgosi 1, Banka 1, Kijuso 1 wao 0
Naanza kuona dalili za kutokuwepo mechi ya marudianoUpdates::::SIMBA WON 3 - 0 LENGTHENS.....(MGOSI, BANKA and KIJUSO).............kwa wale walioko Tanzania TBC wataonyesha marudio ya hiyo mechi.BIG up mnyama
haya ndio mambo ...mpira ulianza saa 18:00
Updates::::SIMBA WON 3 - 0 LENGTHENS.....(MGOSI, BANKA and KIJUSO).............kwa wale walioko Tanzania TBC wataonyesha marudio ya hiyo mechi.BIG up mnyama
Members 57 matokeo rasmi hayajulikani ... .... ndio mambo ya Simba na Yamga kupitia kwa yahaya. Khe khe kheeeeee
Kuna member aliweka 2 - 0 etc. Naona sasa haya ndiyo matokeo rasmi. Thanks.Kwani mkuu matokeo si yametolewa hapo juu na baadh ya wachangiaji.
Simba 3 maKurefusha 0.
Source: mlimani tv!
Au?
Thimba thimba thimba yaani tukiwafunga mnasema timu ilikuwa nyepesi ninyi ndala kweli hamkosi la kusema jamani loool popopopopooooooo oooooh kidedeaaaaa yaani hao ndo Simba wazee wa kimataifa bana tunataka tufanye mafanikio ya wakati wa Siang'a au kocha mchezaji Hassan Hafif