Mkaona muicrop hii picha na kuja kuongezea wachezaji wa Simba waliyokuwa juani, hadi Sakho usoni anaonekana yupo juani. Bado mkasahau mida ambayo mlitangaza hii, Sakho hakuwa amerudi Misri tangu alipoenda Morocco kaja kuingia mchana.

Sijui hii aliicheza ndotoni?

[emoji114]tuache hiyo list ya wafungaji mliyowaweka hapo, huyo Donga ana miezi zaidi miwili hachezi ni majeruhi, sijui hilo goli kafungia kitandani.
 
Simba ya msimu huu itakua ya moto sana kimataifa, tukikamilisha usajiri wa manzoki na kiungo mnigeria itakua balaa na nusu.
 
Jezi zetu zitatoka lini?

Tunasubiria wengine watoe ili tuige tunazoona zinapendeza tutengeneze zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…