Mafutayanazi
Member
- Mar 23, 2022
- 24
- 19
Tunaendelea kumwagilia moyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usajili mzuri sana, twende kwa Richard Boadu Agadas sasaMohammed Ouattara is redView attachment 2299793
Mkaona muicrop hii picha na kuja kuongezea wachezaji wa Simba waliyokuwa juani, hadi Sakho usoni anaonekana yupo juani. Bado mkasahau mida ambayo mlitangaza hii, Sakho hakuwa amerudi Misri tangu alipoenda Morocco kaja kuingia mchana.
Simba ya msimu huu itakua ya moto sana kimataifa, tukikamilisha usajiri wa manzoki na kiungo mnigeria itakua balaa na nusu.
Usikalili mkuu, ukiangalia hata style yao ya uchezaji iko tofauti sanaWanzoki hatakuwa na jipya, hana tofauti na Balinya!
hii ni kawaidaFULL TIME
HARAS EL HUDOUD 2 SIMBA 0
Jezi low quality sn hz.
umekuwa muwazi hongera, maboresho yanahitajikahii ni kawaida
na kwa simba huu ni mchezo muhimu kuliko ile waliyoshinda 6-0.