Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Tupo tumekaa huku juu!!Wana simba mpo
ya utopolo imekufa kabsa, acha hii ya mnyama kudorora, kwanza umekuja kufanya nini humu kama imedorora???
Leo ndio nimeamin maneno ya wanayangaInaumiza sana timu inacheza bila mpangilio. Acha tuitwe makolo.
ni kweli lkn wachezaji wengine hawapo vizuri kiafya ndio maana hata sub hawakuwepo. wewe kwa ushauri wako ile team iliyokuwa bench ulitaka aingie nani?Nyoni leo kaharibu full back ya kulia ya uhakika ni kapombe tu ndy ana uwezo wa kuzuia na kuweka cross za ushindi
Kyombo nae amefeli leo timu imecheza kwa kiwango cha chini sana sub za kocha anazofanya hazieleweki..