Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Ka thread kamekondeana Undundu FC wanaenda kujazana kwenye thread za Yanga! Ndunduka FC hamjielewi!
 
Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMoja
FB_IMG_1674509504591.jpg
 
Mwakani inshallah tunategemea udhamini wa karne, either adidas, puma au Nike lazima mmoja wao aidhamini Yanga mana ndiyo timu iliyo serious zaidi Afrika mashariki na kati, wengine wote machale tu.
 
Tupo mbali sana kwa sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG-20230130-WA0021.jpg
 
Madunduka na jezi zenu anazotengeneza Mo mtapata tabu sana miaka hii kumi ijayo, mana Yanga kwenye jezi hashikiki, uwanjani ndiyo kabisa mtaisikia ligi mwaka 2033. Tutapiga back to back kwa misimu kumi mfululizo na hamna kitu mtafanya.
 
Back
Top Bottom