Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMoja
Mwakani inshallah tunategemea udhamini wa karne, either adidas, puma au Nike lazima mmoja wao aidhamini Yanga mana ndiyo timu iliyo serious zaidi Afrika mashariki na kati, wengine wote machale tu.
Madunduka na jezi zenu anazotengeneza Mo mtapata tabu sana miaka hii kumi ijayo, mana Yanga kwenye jezi hashikiki, uwanjani ndiyo kabisa mtaisikia ligi mwaka 2033. Tutapiga back to back kwa misimu kumi mfululizo na hamna kitu mtafanya.