Hiki ni kipaji ambacho hakistahili kuendelea kubaki kwenye ligi ya Senegal.
 
[emoji3]Huyu jamaa alichomfanyia Bruno jana alikuwa na haki ya kupaniki mpaka akamsukuma. Alikuwa hagusi mpira kwa raha, anachezea kiatu tu
 
Kila nikiangalia nchi hii hakuna timu ya kushindana na Yanga kwa miaka kumi ijayo kuanzia sasa, hii inamaanisha Yanga italichukua hili kombe kwa misimu kumi na mbili mfululizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…