Jana wachezaji gani wamehongwaa hapo utopoloo?? Au Morisson na Aziz Ki??Mechi nyingi tulizomfunga Utopolo tulitumia mbinu za nje ya uwanja kama kuonga baadhi ya wachezaji wao mahiri ila wakati huu imekuwa ngumu.
Ndio maana Utopolo wale wachezaji wasaliti pamoja na kuwa kwenye viwango vizuri walipowagundua waliachana nao ndio usalama walio nao sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui hata umepotelea wapiii maskinii wee, hadi aibuu.Kama kungekuwa na uwezekano wa kuikwepa hii mechi au ingekuwa sio lazima kucheza hii mechi basi Simba wangeikwepa hii mechi mana Yanga ni lidude fulani likuubwaaa ambalo kuna watu wanaliogopa sanaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516]Simba 1- 0 Wydad
Kwao tunaenda kuwaua
jifunze kuchunga mdomo wakoKwa hapa Afrika mashariki na kati sijaona timu ya kumfunga Yanga kwa sasa.
Haya chukueni ringi lenu pumbavu, Yanga to the semi final nyie majibwa mtaendelea kutuangalia tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jifunze kuchunga mdomo wako
Mashabiki wa yanga si watu wa mpira ila ni mach**k waliokuwa wanaionea wivu simba kila sikuHaya chukueni ringi lenu pumbavu, Yanga to the semi final nyie majibwa mtaendelea kutuangalia tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kundi la mchongo [emoji28]Raja Out
Simba Out
Horoya Out
Vipers Out
Hii ndio story kubwa wenetu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inshort lile kundi lote halipo. Kundi Dhaifu
Mezea bro unatuchoma moyo.Raja Out
Simba Out
Horoya Out
Vipers Out
Hii ndio story kubwa wenetu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inshort lile kundi lote halipo. Kundi Dhaifu
Mezea bro unatuchoma moyo.